Social Icons

Pages

Tuesday, May 13, 2014

Kariakoooo!

This is called MBAGALA take two Kariakoooooo Remixxxxx!!!!!!!!!

Tatizo kwetu kariakoo

Daladala, makelele masokoo

Tatizo maisha yangu yahadikoooo

Mapenzi usinifikishie kooniiiiiiiiiii


Kuachwa mi naogopa, usitake fikiria

Eti wanasema uwaminifu unahitajika

Niamini nini wakati hata saa zinakatika

Nakupenda wewe Yule Yule wa kariakoo


Naomba usinimwage na nyanya zangu

Nitaivisha penzi letu zaidi ya ndizi mbivu

Usichukue Suzuki wakati kuna mkokoteni

Nipende kwa dhati wako Yule wa kariakoo


Mara ya kwanza nilipokuona nilikuwa sokoni

Uliacha wapiga debe wote kwangu kununua

Nilipatwa na butwaa bei kupoteza surani mwako

Sababu nipo pale Kariakoo, basi usidhani wa kuja



CHORUS


Tatizo kwetu sisi Kariakoo, ukitoka nje masoko

Tatizo kwetu kwenye mitaro, wewe mtu wa Obey sikuwezi

Tatizo kwetu Kariakooo.....Kariakooooooooooo

Mapenzi ya majuu siyawezi, Kwetu Kariakoooooooooo x3


BRIDGE

Tatizo mimi wa Kariakoo

Usijeukaja kuniumiza koo

Tatizo mimi sio hadikooooo

Basi mapenzi usinifikishie kooniiii


Nasema Kariakooo, kariakooooo

Kariakoooooooo

Basi mapenzi usifikishie kooniiiiiiiii.........x2

No comments:

Post a Comment