Social Icons

Pages

Showing posts with label Swahili Poem collable. Show all posts
Showing posts with label Swahili Poem collable. Show all posts

Tuesday, May 13, 2014

Maendeleo - Kilimo vs Tekelinalokujia


Nyie mwasema kilimo,Eti uti wa mgongo
Mbona nyie hamumo,Au mwasema uongo?
Mme yawacha mashimo,Wasomi wenye mipango
Njooni kwenye kilimo,Acheni kubeba bango

Sasa kilimo ni uti wa mgomgo
wakati tekelinalokujia ndio somo
Mimi sibagua hata jembe nawezashika
Wasomi wenyewe ndo waendeleza kilomo mpango

Hilo tekelinalotujia,Limerushwa na kiatu
Vijijini lakimbia,Limefikia mjini tu
Masikini wanalia,Wamekauka watupu
Mali mmekumbatia,Sisi twasaga viatu

Mashule kufunguliwa teke kurushiwa vijijini
Wanafunzi kuwezeshwa kweli wataka iwe jiji
Maendeleo hupelekwa uliza izo charitizi
Kusema watu wachoyo sio wote duniani

Mengi nakuachia, kweli hili swala sila mmoja
Hamna wakumlaumu, tajiri anayake mawazo
Huwezi kumuukumu, ila kumbuka wale watoao
Hili swala la maendeleo ni jukumu letu sote.

Lulu Mero & Rashid Mohammed 

Friday, January 22, 2010

The Sun ~Jua

THE SUN
His golden light has exciting touch

Chasing away the darkness by it light

He is everywhere spread the day and night

True friend to me this is amazing!



The balance he is head of colleagues in the universe

Providing light and good energy to all who revolve around

Not selfish especial to those who trust in the commitment to him.

True friend to me this is amazing!



In a summer day, when I leave to go beach

He accompanies me, staying on my side all day

Giving me the temperature which turns me tan.

True friend to me this is amazing.



Touch me, its energy and vitamins.

His smile makes me to seek a swimming place.

His eyes I endured without Safety, sunglasses

True friend to me this is amazing.



swahili


Miale yake inponigusa husisimua

Hungara kupita mfano na giza kuitimua

Kila mahala huenea mchana na usiku

Kweli rafiki yangu huyu ni waajabu



Kwenye mizani yeye ndiye mkuu wa wenzake

Huwagawia mwanga na nishati bora wamzunguke

Si mchoyo kwa wanaomtegemea kwa kujitoa kwake.

Kweli rafiki yangu huyu ni waajabu



Nitokapo kwenda ufukweni,

Siku nzima yeye huongozana nami

Hunipa joto la uhakika linalonibadili hata rangi.

Kweli rafiki yangu huyu ni waajabu.



Mguso wake hunipatia nishati na vitamini.

Anichekeapo hubidi nitafute pakuogelea majini

Nimwangaliapo machoni simstahimili bila miwani.

Kweli rafiki yangu huyu ni waajabu.